Saturday, September 10, 2011

Hello....

Hi guys!

Sorry for abandoning you this weekend.

Nilikua nimepanda ntaendelea na simulizi ya Zawadi ili msisubiri sana ila kwa bahati mbaya kikatokea kitu kilichoninyima muda na umakini wa kufanya hivyo.
Ila kilichotokea kimenipa wazo ambalo sikua nimefikiria mwanzo hivyo natumaini na nyie mtafaidika na nilichojifunza...ntawajulisha ni kitu gani kesho maana hata kuambatanisha picha siwezi hapa nilipo.

Poleni tena kwa msiba mkubwa uliotokea Nungwi.

Be blessed and stay blessed!
LIS

1 comment:

  1. Usijali, wadau tunangojea kwa hamu that good thing kutoka kwa malkia!! loh..........pole na mihangaiko!

    ReplyDelete