Saturday, September 10, 2011

Ajali ya meli Nugwi...

Well kwasababu habari tayari imesambaa kila mahali mi naomba niwape tu pole walionusurika pamoja na wale wahusika wa karibu kabisa wa wale ndugu zetu waliopoteza maisha.

Naomba Mwenyezi Mungu awajalie nguvu na ujasiri wa kuweza kupambana na kipindi hichi kigumu.

Ndugu zetu waliopoteza maisha namwomba Mungu awarehemu na kuzipumzisha roho zao mahali pema peponi.
Amen!

Kwa taarifa zaidi tembelea
http://issamichuzi.blogspot.com/
pia http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/171250-meli-yazama-ikelekea-pemba%3B-wengi-wahofiwa-kupoteza-maisha.html#post2475033

2 comments:

  1. Kwakweli inasikitisha sana tena sanaaa, hasa ukizingatia ajali yenyewe imesababishwa na uzembe wa watu wachache wasiowajibika! Enyways, M/Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. AMEN POLE KWA WAFIWA WOTE........!

    ReplyDelete